# mkimbizi mtu aliyelazimishwa kuondoka kwenye nchi yao kwa sababu ya vita au janga jingine. # kinywa chako kitafunuliwa "Yahwe atafunua kinywa chako" Hii inaelezea mtu kueleweshwa na uwezo wa kuzungumza kuhusu kitu. # utaongea-hutakuwa bubu tena Haya maneno yote yanamaanisha watu wa Israeli watazungumza. Inasema tena kama hasi kusisitiza chanya. # itakuwa ishara Hii inarejea kwa watu wa Israeli kama ishara kwa sababu watawasaidia wakimbizi kuelewa kwa nini Yerusalemu iliharibiwa.