sw_tn/ezk/24/06.md

298 B

chungu kinachopikwa

Yahwe anailinganisha Yerusalemu na chungu kinachopikwa.

kutu

ni kitu chekundu kilichotengenezwa juu ya chuma. Kutu hula chuma na mwishowe huiharibu chuma

Chukua

Yahwe hatoi hii amri kwa mtu maalumu, badala yake anaamuru baadhi picha ya mtu ambaye ni sehemu ya mfano.