# chungu kinachopikwa Yahwe anailinganisha Yerusalemu na chungu kinachopikwa. # kutu ni kitu chekundu kilichotengenezwa juu ya chuma. Kutu hula chuma na mwishowe huiharibu chuma # Chukua Yahwe hatoi hii amri kwa mtu maalumu, badala yake anaamuru baadhi picha ya mtu ambaye ni sehemu ya mfano.