sw_tn/ezk/23/42.md

318 B

sauti za kundi la watu waliokuwa pamoja na wapiganaji zilikuwa pamoja nawe

Sauti za kundi la watu imetumika kurejea kwa kundi la watu.

walevi

watu ambao mara nyingi hulewa. Ingawa baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri Washeba," ambayo ni, watu kutoka Sheba.

mapambo

pamba au kuchonga kufanya nzuri zaidi.