sw_tn/ezk/23/42.md

12 lines
318 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sauti za kundi la watu waliokuwa pamoja na wapiganaji zilikuwa pamoja nawe
Sauti za kundi la watu imetumika kurejea kwa kundi la watu.
# walevi
watu ambao mara nyingi hulewa. Ingawa baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri Washeba," ambayo ni, watu kutoka Sheba.
# mapambo
pamba au kuchonga kufanya nzuri zaidi.