sw_tn/ezk/23/24.md

500 B

sialaha

Neno la Kiebrani hapa limetafsiri kama "silaha" ni adimu. Matoleo mengi ya kisasa yanaitafsiri katika njia hii, lakini baadhi ya matoleo yameiacha kama ilivyo.

Watapanga ngao kubwa, ngao ndogo, na kofia za chuma juu yako

Hizi njia za utetezi zimetumika kurejea kwa aina tofauti tofauti za maaskari katika jeshi.

Wataikata pua yako na maskio yako

Hii inaelezea adhabu katika Babeli kwa mwanamke aliyeoolewa ambaye alilala na wanaume ambao sio waume zao. "Watawaadhibu kama wazinzi"