sw_tn/ezk/23/24.md

12 lines
500 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# sialaha
Neno la Kiebrani hapa limetafsiri kama "silaha" ni adimu. Matoleo mengi ya kisasa yanaitafsiri katika njia hii, lakini baadhi ya matoleo yameiacha kama ilivyo.
# Watapanga ngao kubwa, ngao ndogo, na kofia za chuma juu yako
Hizi njia za utetezi zimetumika kurejea kwa aina tofauti tofauti za maaskari katika jeshi.
# Wataikata pua yako na maskio yako
Hii inaelezea adhabu katika Babeli kwa mwanamke aliyeoolewa ambaye alilala na wanaume ambao sio waume zao. "Watawaadhibu kama wazinzi"