sw_tn/ezk/23/01.md

28 lines
585 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anamwambia Ezekieli hadithi kuhusu mabinti wawili katika Misri kuelezea jinsi alivyoona tabia ya watu wa Israeli.
# Neno la Yahwe likaja
"Yahwe akanena neno lake."
# maziwa yao yalikuwa yamebanwa
"Wanaume waliyabana maziwa yao."
# ubikira wa chuchu zao zilipapaswa huko
Kimsingi haya maneno yanamaanisha kitu kimoja kama neno lililopita na kusisitiza tabia mbaya ya wasichana wawili.
# papaswa
kushikwa pole pole
# Ohola
Hili ni jina la kike linalomaanisha "hema yake."
# Oholiba
Hili ni jina la kike linalomaanisha "hima yake yu katikati yake."