sw_tn/ezk/23/01.md

585 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anamwambia Ezekieli hadithi kuhusu mabinti wawili katika Misri kuelezea jinsi alivyoona tabia ya watu wa Israeli.

Neno la Yahwe likaja

"Yahwe akanena neno lake."

maziwa yao yalikuwa yamebanwa

"Wanaume waliyabana maziwa yao."

ubikira wa chuchu zao zilipapaswa huko

Kimsingi haya maneno yanamaanisha kitu kimoja kama neno lililopita na kusisitiza tabia mbaya ya wasichana wawili.

papaswa

kushikwa pole pole

Ohola

Hili ni jina la kike linalomaanisha "hema yake."

Oholiba

Hili ni jina la kike linalomaanisha "hima yake yu katikati yake."