sw_tn/ezk/21/25.md

20 lines
384 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anampatia Ezekieli ujumbe wake kwa mtwala wa Israeli.
# siku ya nani inakuja
Hili neno linamaanisha "sasa Yahwe atamwadhibu nani."
# mda wa nani wa kufanya dhambi umekoma
"mda wakati Yahwe akomeshapo uovu"
# kilemba
kipande cha nguo kizuri ambacho mfalme huvaa kwenye vichwa vyao kama ishara ya mamlaka yao
# tukuza unyenyekevu
"na tukuza ya chini"