sw_tn/ezk/21/24.md

527 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yerusalemu.

Kwa sababu umeuleta uovu wako kwenye kumbukumbu zangu

"Kwa sababu umenikumbusha uovu wako"

uovu wako kwenye kumbukumbu zangu, makosa yenu yatafunuliwa! Dhambi zenu zitaonekana katika matendo yenu yote

"kwa kuufunua uovu wako, dhambi zako zitaonyeshwa wazi kwa kila mtu."

Kwa sababu hii utamkumbusha kila mtu kwamba

"Kwa sababu hii kila mtu ataelewa kwamba"

utatekwa kwa mkono wa adui zako

"mfalme wa Babeli atakuteka."