# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa watu wa Yerusalemu. # Kwa sababu umeuleta uovu wako kwenye kumbukumbu zangu "Kwa sababu umenikumbusha uovu wako" # uovu wako kwenye kumbukumbu zangu, makosa yenu yatafunuliwa! Dhambi zenu zitaonekana katika matendo yenu yote "kwa kuufunua uovu wako, dhambi zako zitaonyeshwa wazi kwa kila mtu." # Kwa sababu hii utamkumbusha kila mtu kwamba "Kwa sababu hii kila mtu ataelewa kwamba" # utatekwa kwa mkono wa adui zako "mfalme wa Babeli atakuteka."