sw_tn/ezk/21/21.md

518 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake.

mitambo ya kubomolea

mashine kubwa ambazo watu walizitumia kuangusha chini kuta au minara

juu yake

"juu ya Yerusalemu

kujenga ngazi

Hizi zilikuwa ngazi kubwa ambazo mfalme wa babeli alizijenga ili kwamba maaskari wake waweze kuingia kwenye kuta za Yerusalemu.

minara ya boma

Hii ilikuwa minara ya mbao ambayo mfalme wa Babeli aliijenga kuzunguka Yerusalemu kuwawezesha maaskari wa Babebli kurusha mishale juu ya kuta za Yerusalemu.