# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake. # mitambo ya kubomolea mashine kubwa ambazo watu walizitumia kuangusha chini kuta au minara # juu yake "juu ya Yerusalemu # kujenga ngazi Hizi zilikuwa ngazi kubwa ambazo mfalme wa babeli alizijenga ili kwamba maaskari wake waweze kuingia kwenye kuta za Yerusalemu. # minara ya boma Hii ilikuwa minara ya mbao ambayo mfalme wa Babeli aliijenga kuzunguka Yerusalemu kuwawezesha maaskari wa Babebli kurusha mishale juu ya kuta za Yerusalemu.