sw_tn/ezk/21/12.md

339 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa watu wa Yerusalemu na nchi ya Israeli.

Wametolewa dhidi ya upanga pamoja na watu wangu

"Wameuawa kwa upanga pembeni ya watu wangu"

lakini itakuwaje kama fimbo ya kifalme haitakuwepo tena?

"na itakuwa hofu kubwa sana kama upanga utaiharibu fimbo na fimbo ikaenda."