# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kwa watu wa Yerusalemu na nchi ya Israeli. # Wametolewa dhidi ya upanga pamoja na watu wangu "Wameuawa kwa upanga pembeni ya watu wangu" # lakini itakuwaje kama fimbo ya kifalme haitakuwepo tena? "na itakuwa hofu kubwa sana kama upanga utaiharibu fimbo na fimbo ikaenda."