sw_tn/ezk/21/08.md

280 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe ananena neno lake."

Utachongwa na kung'aa

"Li kali na lililosuguliwa." Hili neno linaonyesha kwamba upanga u tayari kwa ajili ya mtu kuutumia.

kung'aa

Mtuu kuufanya upanga laini, unaong'aa, na safi kwa kuusugua kwa kwa kifaa kinacho kwaruza