sw_tn/ezk/20/15.md

321 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.

nimeinua mkono wangu kuapa kiapo

Tazama tafsiri yake katika 20:4.

kwao

"kwa nyumba ya Israeli"

Lakini jicho langu lilikuwa na huruma kwao

"Lakini bado nawahurumia."

kwa sababu ya uharibifu wao

"lakini sikuwaharibu"