sw_tn/ezk/20/15.md

20 lines
321 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa wazee wa Israeli.
# nimeinua mkono wangu kuapa kiapo
Tazama tafsiri yake katika 20:4.
# kwao
"kwa nyumba ya Israeli"
# Lakini jicho langu lilikuwa na huruma kwao
"Lakini bado nawahurumia."
# kwa sababu ya uharibifu wao
"lakini sikuwaharibu"