sw_tn/ezk/19/08.md

346 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kulielezea taifa la Isaraeli kama simba jike na wafalme wa ufalme wa Yuda kama wana simba wake.

juu yake

Neno "yeye" linarejea kwa mwana simba mdogo, anayemuwakilisha Yehoyakini.

kutoka mikoa inayozunguka

"kutoka mikoa inayoizunguka nchi ya Israeli."

mikoa

nchi zilizokuwa zimetawaliwa na Babeli