# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kulielezea taifa la Isaraeli kama simba jike na wafalme wa ufalme wa Yuda kama wana simba wake. # juu yake Neno "yeye" linarejea kwa mwana simba mdogo, anayemuwakilisha Yehoyakini. # kutoka mikoa inayozunguka "kutoka mikoa inayoizunguka nchi ya Israeli." # mikoa nchi zilizokuwa zimetawaliwa na Babeli