forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
464 B
Markdown
16 lines
464 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Yehova anazungumza juu ya shauku yake kwa ajili ya watu waovu.
|
|
|
|
# Je nitafurahia sana juu ya kifo cha mwovu...na si katika kugeuka kwake kutoka katika njia zake mbaya ili aishi?
|
|
|
|
"sifurahishwi na kifo cha mwovu, bali ninafurahia anapogeuka na kuyaacha matendo yake maovu na akaishi."
|
|
|
|
# Hili ni tamko la Bwana, Yahwe mwenyewe
|
|
|
|
angalia tafsiri ya 5:11
|
|
|
|
# si katika kugeuka kwake
|
|
|
|
"asipobadirika na kuyaacha matendo yake maovu na kutenda mema.
|