sw_tn/ezk/18/23.md

464 B

Maelezo ya Jumla:

Yehova anazungumza juu ya shauku yake kwa ajili ya watu waovu.

Je nitafurahia sana juu ya kifo cha mwovu...na si katika kugeuka kwake kutoka katika njia zake mbaya ili aishi?

"sifurahishwi na kifo cha mwovu, bali ninafurahia anapogeuka na kuyaacha matendo yake maovu na akaishi."

Hili ni tamko la Bwana, Yahwe mwenyewe

angalia tafsiri ya 5:11

si katika kugeuka kwake

"asipobadirika na kuyaacha matendo yake maovu na kutenda mema.