sw_tn/ezk/18/19.md

272 B

kwanini mwana asibebe uovu wa baba yake?

"kwanini mwana hawajibiki juu ya uovu huo?"

Haki ya kila mtenda mema itakuwa juu yake mwenyewe.

"Kila atendaye kwa haki ataitwa mwenye haki"

uovu wa mtu muovu utakuwa juu yake mwenyewe

"mtu atendaye maovu ataitwa muovu"