# kwanini mwana asibebe uovu wa baba yake? "kwanini mwana hawajibiki juu ya uovu huo?" # Haki ya kila mtenda mema itakuwa juu yake mwenyewe. "Kila atendaye kwa haki ataitwa mwenye haki" # uovu wa mtu muovu utakuwa juu yake mwenyewe "mtu atendaye maovu ataitwa muovu"