sw_tn/ezk/18/03.md

4 lines
213 B
Markdown

# Tazama!
Neno "Tazama" hapa linaongeza msisitizo juu ya kile kinachofuata. Linaweza pia kutafsiriwa kama " Haswaa! hii inaweza kutafsiriwa pia kama "ona" au "Sikikiliza" au "zingatia kile ninachoenda kukwambia"