# Tazama! Neno "Tazama" hapa linaongeza msisitizo juu ya kile kinachofuata. Linaweza pia kutafsiriwa kama " Haswaa! hii inaweza kutafsiriwa pia kama "ona" au "Sikikiliza" au "zingatia kile ninachoenda kukwambia"