sw_tn/ezk/17/24.md

282 B

Taarifa za Ujumla:

Yehova anazungumzia juu ya miti kana kwamba ni miji.

Kisha miti yote katika shamba itafahamu kuwa mimi ndimi Yehova.

Vitu kuvikwa uhusika kama binadamu.

Miti mirefu...Miti mifupi

Lugha ya picha/fumbo

Kupukutika

wakati ambapo mmea hunyauka na kufa.