sw_tn/ezk/17/24.md

16 lines
282 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za Ujumla:
Yehova anazungumzia juu ya miti kana kwamba ni miji.
# Kisha miti yote katika shamba itafahamu kuwa mimi ndimi Yehova.
Vitu kuvikwa uhusika kama binadamu.
# Miti mirefu...Miti mifupi
Lugha ya picha/fumbo
# Kupukutika
wakati ambapo mmea hunyauka na kufa.