sw_tn/ezk/17/09.md

503 B

Utafanikiwa?

"Hautafanikiwa."

Je! Haitaing'oa mizizi yake na kuyakata matunda yake ili kwamba unyauke, na majani yake yote mabichi yanyauke?

"Atang'oa mizizi yake na kukonyoa au kuchuma matunda yake hivyo ukuaji wa majani yake yote yatanyauka."

tazama!

Neno "tazama!" hapa inaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata. "kuwa macho kwa kile ninachotaka kukueleza!"

utamea?

"hautamea."

Je hautanyauka wakati upepo wa mashariki utakapoupiga?

"Utanyauka wakati upepo wa mashariki uugusapo."