forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
503 B
Markdown
20 lines
503 B
Markdown
|
# Utafanikiwa?
|
||
|
|
||
|
"Hautafanikiwa."
|
||
|
|
||
|
# Je! Haitaing'oa mizizi yake na kuyakata matunda yake ili kwamba unyauke, na majani yake yote mabichi yanyauke?
|
||
|
|
||
|
"Atang'oa mizizi yake na kukonyoa au kuchuma matunda yake hivyo ukuaji wa majani yake yote yatanyauka."
|
||
|
|
||
|
# tazama!
|
||
|
|
||
|
Neno "tazama!" hapa inaongeza msisitizo kwa kile kinachofuata. "kuwa macho kwa kile ninachotaka kukueleza!"
|
||
|
|
||
|
# utamea?
|
||
|
|
||
|
"hautamea."
|
||
|
|
||
|
# Je hautanyauka wakati upepo wa mashariki utakapoupiga?
|
||
|
|
||
|
"Utanyauka wakati upepo wa mashariki uugusapo."
|