sw_tn/ezk/13/19.md

235 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunane na juu ya unabii wa uongo katika Israeli.

makonzi ya shayiri na vipande vya mkate

Shayiri ni nafaka iliyotumika kutengenezea mkati na neno "vipande vya mkate" ni kiasi kidogo cha mkate.