# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kunane na juu ya unabii wa uongo katika Israeli. # makonzi ya shayiri na vipande vya mkate Shayiri ni nafaka iliyotumika kutengenezea mkati na neno "vipande vya mkate" ni kiasi kidogo cha mkate.