sw_tn/ezk/13/05.md

24 lines
529 B
Markdown

# nyumba ya Israeli
Tazama tafsiri yake katika 3:1.
# kupinga katika vita
"kujilinda"
# Je hamkuwa na maono ya uongo ... Wakati mimi mwenyewe sikuongea?
Yahwe anatumia hili swali kuwakemea manabii wa uongo.
# mlikuwa maono ya uongo na kufanya utabiri wa uongo
Tangu manabii wa uongo wakose kupokea ujumbe wa kweli kutoka kwa Yahwe, kile wanacho tabiri kuhusu baadaye sio kweli.
# Hivi na hivi
Hili ni nenao lililotumika kurejea kwa kitu chochote nabii ameweza kusema.
# Agizo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika 5:11.