sw_tn/ezk/13/05.md

529 B

nyumba ya Israeli

Tazama tafsiri yake katika 3:1.

kupinga katika vita

"kujilinda"

Je hamkuwa na maono ya uongo ... Wakati mimi mwenyewe sikuongea?

Yahwe anatumia hili swali kuwakemea manabii wa uongo.

mlikuwa maono ya uongo na kufanya utabiri wa uongo

Tangu manabii wa uongo wakose kupokea ujumbe wa kweli kutoka kwa Yahwe, kile wanacho tabiri kuhusu baadaye sio kweli.

Hivi na hivi

Hili ni nenao lililotumika kurejea kwa kitu chochote nabii ameweza kusema.

Agizo la Yahwe

Tazama tafsiri yake katika 5:11.