sw_tn/ezk/12/26.md

790 B

neno la Yahwe likaja

"Yahwe alinena neno lake."

kunijia ... ono ambalo ona ... na ametabiri

Maneno "mimi" na "yeye" yanamrejea Ezekieli.

waambie

Neno "wao" linarejea kwa watu wa Israeli.

Tazama

Neno "Tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa kushangaza habari inayofuata.

'Lile ono alionalo ni kwa siku nyingi kutoka sasa, na ametabiri kipindi kilicho mbali sana

Haya maneno yote ni njia ya watu wa Israeli wanasema maonyo ya Ezekieli hayatatokea katika kipindi cha maisha lakini yatatokea huko mbeleni sana.

Maneno yangu hayatacheleweshwa sana, lakini lile neno nililoliongea litatimizwa

Haya maneno ni njia zote Mungu anawaambia watu wa Israeli kwamba mambo aliyoyaonya, yatatokea punde.

hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo!

Tazama tafsiri yake katika 5:11.