sw_tn/ezk/12/26.md

28 lines
790 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# neno la Yahwe likaja
"Yahwe alinena neno lake."
# kunijia ... ono ambalo ona ... na ametabiri
Maneno "mimi" na "yeye" yanamrejea Ezekieli.
# waambie
Neno "wao" linarejea kwa watu wa Israeli.
# Tazama
Neno "Tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa kushangaza habari inayofuata.
# 'Lile ono alionalo ni kwa siku nyingi kutoka sasa, na ametabiri kipindi kilicho mbali sana
Haya maneno yote ni njia ya watu wa Israeli wanasema maonyo ya Ezekieli hayatatokea katika kipindi cha maisha lakini yatatokea huko mbeleni sana.
# Maneno yangu hayatacheleweshwa sana, lakini lile neno nililoliongea litatimizwa
Haya maneno ni njia zote Mungu anawaambia watu wa Israeli kwamba mambo aliyoyaonya, yatatokea punde.
# hivi ndivyo Bwana Yahwe asemavyo!
Tazama tafsiri yake katika 5:11.