sw_tn/ezk/12/21.md

16 lines
361 B
Markdown

# neno la Yahwe likanija
"Yahwe ananena neno lake."
# Siku zimerefushwa, na kila ono linaanguka
Huu ulikuwa usemi wa watu wa Israeli ambao hakuamini kwamba Mungu angewahukumu.
# Siku zinakaribia
Hili neno linarejea kwa siku ambazo Israeli itahukumiwa.
# kila ono litatimizwa
Haya maono Mungu anayoyatoa kwa manabii yatakuwa kweli. "kila unabii utatokea"