sw_tn/ezk/11/19.md

713 B

Maelezo ya Jumla:

Mungu anaendelea na unabii wa kile kitakachotokea kwa Wasraeli waliotawanyika.

oyo wa jiwe kutoka kwenye miili yao

Hii ni njia ya kusema kwamba Mungu atabadilisha mwonekano wao kutoka ukaidi wa uasi. "ukaidi wao"

moyo wa nyama

Hii ni njia ya kusema kwamba Mungu atabadilisha mwonekano wao kukubali kanuni yake. "utayari wa kutii"

watatembea kwenye amri zangu, watayachukua maagizo yangu na kuyatenda

Kila moja ya haya maneno inaelezea watu kama kutii kile Yahwe alichowaamuru kufanya.

tabia ya kujifanya

"moyo wa ibaada"

mambo maovu

"mambo ya karaha" au "mambo ya machukizo"

mwenendo

"matendo"

juu ya vichwa vyao wenyewe

"rudi juu ya wale watu."

tamko

"kauli"