sw_tn/ezk/11/19.md

36 lines
713 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Mungu anaendelea na unabii wa kile kitakachotokea kwa Wasraeli waliotawanyika.
# oyo wa jiwe kutoka kwenye miili yao
Hii ni njia ya kusema kwamba Mungu atabadilisha mwonekano wao kutoka ukaidi wa uasi. "ukaidi wao"
# moyo wa nyama
Hii ni njia ya kusema kwamba Mungu atabadilisha mwonekano wao kukubali kanuni yake. "utayari wa kutii"
# watatembea kwenye amri zangu, watayachukua maagizo yangu na kuyatenda
Kila moja ya haya maneno inaelezea watu kama kutii kile Yahwe alichowaamuru kufanya.
# tabia ya kujifanya
"moyo wa ibaada"
# mambo maovu
"mambo ya karaha" au "mambo ya machukizo"
# mwenendo
"matendo"
# juu ya vichwa vyao wenyewe
"rudi juu ya wale watu."
# tamko
"kauli"