forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
714 B
Markdown
24 lines
714 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Yahwe anaendelea kunena na nabii Ezekieli.
|
|
|
|
# Roho wa Yahwe akanijaza
|
|
|
|
Ezekieli anamzungumzia Roho wa Yahwe kutia moyo na kumtia nguvu kutabiri kana kwamba Roho wa Yahwe amejaa juu yake.
|
|
|
|
# nyumba ya Israeli
|
|
|
|
Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia, katika kesi hii Waisraeli ambao ni uzao wa Yakobo.
|
|
|
|
# kama unavyosema
|
|
|
|
"Unanena haya mambo." Hii inarejea kwa kile watu walichokuwa wakikisema katika 11:2.
|
|
|
|
# watu mliowaua ... ni nyama, na huu mji ni sufuria
|
|
|
|
Yahwe anawazungumzia watu waliouawa kana kwamba walikuwa wakata nyama wazuri na mji kana kwamba ilikuwa sufuria ambayo nyama ilikuwa imehifadhiwa au kupikwa.
|
|
|
|
# Lakini mnaenda kutolewa nje kutoka
|
|
|
|
"Lakini ninakwenda kuwatoa nje"
|