sw_tn/ezk/11/05.md

714 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kunena na nabii Ezekieli.

Roho wa Yahwe akanijaza

Ezekieli anamzungumzia Roho wa Yahwe kutia moyo na kumtia nguvu kutabiri kana kwamba Roho wa Yahwe amejaa juu yake.

nyumba ya Israeli

Neno "nyumba" ni mfano kwa ajili ya familia, katika kesi hii Waisraeli ambao ni uzao wa Yakobo.

kama unavyosema

"Unanena haya mambo." Hii inarejea kwa kile watu walichokuwa wakikisema katika 11:2.

watu mliowaua ... ni nyama, na huu mji ni sufuria

Yahwe anawazungumzia watu waliouawa kana kwamba walikuwa wakata nyama wazuri na mji kana kwamba ilikuwa sufuria ambayo nyama ilikuwa imehifadhiwa au kupikwa.

Lakini mnaenda kutolewa nje kutoka

"Lakini ninakwenda kuwatoa nje"