sw_tn/ezk/11/01.md

371 B

Maelezo ya Jumla:

Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu ono aliloeleza katika 8:1.

kuelekea mashariki

"inayoelekea mashariki." "Lango la mashariki" iliyoelekea mashariki.

tazama

Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari za kushangaza kwa kinachofuata.

Nyumba ya Yahwe

sehemu ya hekalu

miongoni mwao

"miongoni mwa watu ishirini na tano"