# Maelezo ya Jumla: Ezekieli anaendelea kueleza kuhusu ono aliloeleza katika 8:1. # kuelekea mashariki "inayoelekea mashariki." "Lango la mashariki" iliyoelekea mashariki. # tazama Neno "tazama" hapa linatutahadharisha kuwa makini kwa habari za kushangaza kwa kinachofuata. # Nyumba ya Yahwe sehemu ya hekalu # miongoni mwao "miongoni mwa watu ishirini na tano"