forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
693 B
Markdown
20 lines
693 B
Markdown
# Maelezo ya Jumla:
|
|
|
|
Mungu anaendelea kunena na walinzi kuwahukumu watu wa Israeli.
|
|
|
|
# kuushambulia mji
|
|
|
|
"kuwashambulia watu katika mji"
|
|
|
|
# nikaangukia kwenye uso wangu
|
|
|
|
"nisujudu chini kwenye nchi" au "nikalala kwenye aridhi." Ezekieli hakuanguka kwa ajali. Alienda chini haya kwenye aridhi kuonyesha kwamba alimuheshimu na kumuogopa Yahwe.
|
|
|
|
# Ee, Bwana Yahwe
|
|
|
|
Ezekieli alisema hivi kwa sababu anataabika sana kwa kile Bwana alichowaambia watu kuifanya Yerusalemu.
|
|
|
|
# je, utayaharibu mabaki yote ya Israeli wakati wa kumwaga ghadhabu yao juu ya Yerusalemu?
|
|
|
|
"je itawaharibu mabaki yote ya Israeli kwa kumwaga gadhabu yako juu ya Yerusalemu?" Ezekieli anajitetea kwa Yahwe asiwaharibu mabaki.
|