sw_tn/ezk/09/07.md

693 B

Maelezo ya Jumla:

Mungu anaendelea kunena na walinzi kuwahukumu watu wa Israeli.

kuushambulia mji

"kuwashambulia watu katika mji"

nikaangukia kwenye uso wangu

"nisujudu chini kwenye nchi" au "nikalala kwenye aridhi." Ezekieli hakuanguka kwa ajali. Alienda chini haya kwenye aridhi kuonyesha kwamba alimuheshimu na kumuogopa Yahwe.

Ee, Bwana Yahwe

Ezekieli alisema hivi kwa sababu anataabika sana kwa kile Bwana alichowaambia watu kuifanya Yerusalemu.

je, utayaharibu mabaki yote ya Israeli wakati wa kumwaga ghadhabu yao juu ya Yerusalemu?

"je itawaharibu mabaki yote ya Israeli kwa kumwaga gadhabu yako juu ya Yerusalemu?" Ezekieli anajitetea kwa Yahwe asiwaharibu mabaki.