sw_tn/ezk/08/16.md

289 B

tazama!

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

varanda yenye matao na nguzo

vinyago mbele ya lango la kuingia pamoja na safu au mihimili kwa ajili ya kusaidia

na ntuso zao kuelekea mashariki

"na walikuwa wakitazama kuelekea mashariki"