sw_tn/ezk/08/16.md

12 lines
289 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# tazama!
Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.
# varanda yenye matao na nguzo
vinyago mbele ya lango la kuingia pamoja na safu au mihimili kwa ajili ya kusaidia
# na ntuso zao kuelekea mashariki
"na walikuwa wakitazama kuelekea mashariki"