sw_tn/ezk/08/14.md

325 B

lango la kuingia la nyumba ya Yahwe lililokuwa upande waa kaskazini

Hili lilikuwa lango la nje kaskazini sio kama lili la katika 8:3

tazama!

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.

wakimlilia Tamuzi

"kuhuzunika kwa sababu kwa sababu mungu wa uongo Tamuzi alikuwa amekufa.