sw_tn/ezk/08/14.md

12 lines
325 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# lango la kuingia la nyumba ya Yahwe lililokuwa upande waa kaskazini
Hili lilikuwa lango la nje kaskazini sio kama lili la katika 8:3
# tazama!
Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Ezekieli alishangazwa kwa kile alichokiona.
# wakimlilia Tamuzi
"kuhuzunika kwa sababu kwa sababu mungu wa uongo Tamuzi alikuwa amekufa.